Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2016

MASWAYETU BLOG: MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA ...

MASWAYETU BLOG: MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA ... :    Kwa majina; MKOA WA ARUSHA  >> BONYEZA HAPA << TUNAENDELEA KUTAFSIRI KW MIWANI

My Slideshow

Picha
Picha
                                             FAHAMU SANA ....... Add caption JARIBU KUSOMA UJITAMBUE WEWE NI NANI Kuna msichana mmoja aliona maisha magumu mno, kila alichokifanya alikiona kushindikana jambo lililomkatisha tamaa. Kila ali pokuwa akilitatua tatizo hili, kuna tatizo jingine liliinuka na kumfanya kuchanganyikiwa. Hakutaka kuendelea kuishi maisha ya namna hiyo, alichoamua kukifanya ni kumfuata mama yake na kisha kumuelezea matatizo aliyokuwa akikutana nayo. Sauti yake tu, ilisikika kama mtu aliyekuwa amekata tamaa na kutokata kuendelea na maisha yale. Mama yake hakusema kitu, alichokifanya ni kumchukua na kumpeleka jikoni. Akachukua maji na kuyaweka jikoni, yalipocheka, akachukua karoti akaziingiza katika maji yale, akachukua mayai na kuyaingiza katika maji yale na mwisho kuchukua kahawa na kisha kuiingiza katika maji yale bila kusema kitu chochote ki...